Historia ya kuzaliwa kwa mtume muhammad s w a

    • Muhammad Mtume wa Allah

      MUHAMMAD MTUME WA ALLAH *Kidokezo kifupi cha wasifa* Kuzaliwa Mpaka Kuanza kwa Wahyi Muhammad al-Mustafa, Mtume wa mwisho wa Allah, alizaliwa Makkah, Arabia mnamo mwezi 17 Rabi al-Awaal, mwaka wa kwanza wa tembo (Amul Fiil) 570 A.D. Mtume Muhammad (s.a.w.) alizaliwa katika ukoo wa Bani Hashim, wa


    • [PDF File]Mawlid – Historia Yake, Hukmu Na Kauli Za Maulamaa

      https://info.5y1.org/historia-ya-kuzaliwa-kwa-mtume-muhammad-s-w-a_1_79f48e.html

      mipaka juu ya familia ya Mtume kwa kusimamisha mawlid ya ‘Aliy, Faatwimah, Hasan na Husayn. Uzushi wa kusherehekea Idi ya Nayruuz, na Idi ya Ghatas na kuzaliwa kwa Masihi nazo ni Idi za Wakristo. Amesema Ibn Turkumani kuhusu hizi Idi za Wakristo: “Na miongoni mwa uzushi inayoleta hizaya ni wanaofanya Waislamu katika siku ya


    • [PDF File]HADITHI AROBAINI ZA MTUME MUHAMMAD(s.a.w.)

      https://info.5y1.org/historia-ya-kuzaliwa-kwa-mtume-muhammad-s-w-a_1_76d27f.html

      kwa namna ya kijitabu na twawaomba ndugu zetu Waislamu wazisome kwa nia safi na mwili safi huku wakimsalia Mtume Mtukufu Bwana wetu Muhammad s.a.w. kwa kulipa ile ihsani aliyotufanyia kwa kutueleza mambo ya hekima kubwa ambayo yangetufaidisha katika maisha ya duniani na Akhera pia. Hadithi zote za Mtume s.a.w., kwa hakika ni maelezo ya aya za


    • [PDF File]Mfano mwema wa Mtume - Muhammad(s.a.w)

      https://info.5y1.org/historia-ya-kuzaliwa-kwa-mtume-muhammad-s-w-a_1_01a821.html

      Mfano Mwema kwa Yatima Baadhi ya watoto hufiwa na baba zao wakiwa bado wachanga, na baadhi ya watoto hufiwa na baba zao wanapokuwa watoto wakubwa kidogo. Lakini Mtume Muhammad s.a.w. alizaliwa yatima. Baba yake alifariki miezi mitatu kabla yake (Mtume) kuzaliwa. Mama yake akafariki dunia. Mtume akiwa na umri wa miaka sita. Na hata


    • [PDF File]Kwanini Muislamu haruhusiwi kusherehekea maulidi

      https://info.5y1.org/historia-ya-kuzaliwa-kwa-mtume-muhammad-s-w-a_1_9f8651.html

      Mtume (s.a.w) na Abu Bakar (r.a) akawaambia Maswahaba wengine wainuke kumpa heshima Mtume (s.a.w) na kumpa malalamiko ya mnafiki. Mtume (s.a.w) akasema: ((Sikizeni! Msiniinukie mimi bali…. ((na simameni kwa ajili ya Allaah)) [Al-Baqarah: 238] (dalili kutoka Tafsiyr Ibnu Kathiyr] 15-Sababu Ya Kumi Na Tano: Kuchanganyika kwa wanawake na wanaume


    • [PDF File]Dar Es Salaam - 2014

      https://info.5y1.org/historia-ya-kuzaliwa-kwa-mtume-muhammad-s-w-a_1_d3c32d.html

      cha taathira kwa wanadamu na historia ya binaadamu kama Mtume Muhammad (s.a.w). Aliwaongoza watu katika moja ya dini kubwa kabisa ulimwenguni, akaweka msingi wa moja ya staarabu za hali ya juu kabisa kuwahi kushuhudiwa na ulimwengu katika zama za uhai wake. Lakini, kwa mujibu wa mwandishi, haya sio sifa kuu zaidi za maisha ya Mtume (s.a.w).


    • Usahihi Wa Historia Ya Uislamu Na Waislamu

      Neno La Mchapishaji Usahihi Wa Historia Ya Uislamu. Hii ni historia ya vuguvugu la Uislamu ambalo lilianzishwa na Muhammad, Mtume wa Allah (s.w.t.) mnamo mwaka 610 A.D. huko Makka, na kuendelea alipohamia Madina mpaka alipofarika. Inahusisha kipindi cha miaka tisini kuanzia 570 A.D. wakati yeye Muhammad alipozaliwa huko Makka, hadi mwaka


    • Maulidi, si bida, si haramu

      Kwa kawaida, linapotumiwa na Waislamu, huwa na maana ya siku aliyozaliwa Mtume Muhammad (s.a.w.w.), au hafla ya kuisherehekea siku hiyo. Waislamu wa ulimwengu mzima, ifikapo tarehe 12 ya Mfungo Sita (Rabiul Awwal), husoma maulidi na kuisherehekea siku hiyo kwa furaha kubwa. Sherehe hizo, kwa dasturi, haziishii tarehe hiyo tu, bali huendelea ...


    • Fani Katika Maulidi Ya Nuni

      Somo letu la utafiti limekuwa fani katika Maulidi ya Nuni. Malengo yetu ya utafiti yalikuwa ni kuchunguza nafasi ya wahusika na uhusika katika Maulidi ya Nuni na vilevile kuchanganua matumizi ya lugha, tamathali za usemi, muundo na mandhari katika Maulidi ya Nuni. Tumetumia nadharia ya mtindo ambayo ni mwafaka katika utafiti wetu. Tumeweza


    • MAISHA YA MTUKUFU

      Aliiumba Nuur (Nuru) ya Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.a.). Bwana Al-Qastalani (katika kitabu cha kiitwacho Al-Mawahibu’l-Ladunniyah, Juzuu ya 1, uk. 5, 9 na 10) aliyeinukuu Hadith ya Mtukufu Mtume (s.a.w.a.) ihusianayo na jambo hili, kutoka kwa Sahaba Bwana Jabir ibn Abdallah Al-Ansari na Sayyidina Ali ibn Abi Talib (a.s.).


    • [PDF File]Mwana Mkuu wa Ibrahim

      https://info.5y1.org/historia-ya-kuzaliwa-kwa-mtume-muhammad-s-w-a_1_4a6b3d.html

      Ibrahim ndiyo waliomkurubia, na katika zama hizi Mtume Muhammad s.a.w. na waaminio wanamkurubia kuliko wengine wote. Yaani Waislamu ndiyo wana wa Ibrahim hasa kwa kiroho na Mtume Muhammad s.a.w. ndiye Mwana Mkuu wa Ibrahim. Kabla hawajaanza kusoma kitabu hiki, wasomaji wanapaswa kuelewa ya kwamba nikijibu upinzani wa padre Anglars sikurejesha


    • [PDF File]Mtume Muhammad(s.a.w.) katika Biblia

      https://info.5y1.org/historia-ya-kuzaliwa-kwa-mtume-muhammad-s-w-a_1_3728aa.html

      yanaonyesha kwamba Nabii Muhammad s.a.w. si Mtume wa kitaifa bali ametumwa kwa mataifa yote ya wanadamu. Mtume Muhammad s.a.w. kwa kuwa ni m’bora wa mitume wote (Sura 33:41) naye alitumwa kwa watu wote (Sura 7:159) bishara zinazotabiri kuja kwake zinapatikana katika vitabu vya dini zote. Hapa vimetajwa Taurati na Injili.


    • SIKU YA KUZALIWA

      SIKU YA KUZALIWA MTUME {S.A.W.W.} NI LAZIMA IKUMBUKWE Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye Kurehemu “Hawi na imani mmoja wenu mpaka niwe napendeza zaidi kwake kuliko mzazi wake, mtoto wake na watu wote.” -MTUME {s.a.w.w.} Katika kipindi kilichokuwa kigumu kwa mwanadamu - cha kupokonyana, unyang’anyi wa


    • CLARIS. U. CHANIRO NAMBARI YA USAJILI: C50/ 76674/ 2014

      A.W), tangu kuzaliwa kwake. Ni sherehe ya kukumbuka siku aliyozaliwa Mtume Muhamad. Ukawafi wa Maulidi ya Jambeni unahusu historia ya kuzaliwa kwa Mtume Muhamad . Katika Maulidi haya tumeshughulikia jinsi lugha ilivyoteuliwa ili kuendeleza maudhui mbalimbali. Nyenzo kuu ya kazi ya fasihi ni lugha. Mtunzi wa kazi ya kifasihi hawezi kuwasilisha ...


    • [PDF File]Maombi Ya Mtume

      https://info.5y1.org/historia-ya-kuzaliwa-kwa-mtume-muhammad-s-w-a_1_87b15f.html

      MAOMBI YA MTUME MTUKUFU M U H A M M A D (S.A.W.) Kimeenezwa na Jumuiya ya Waislamu Waahmadiyya (TANZANIA) S.L.B. 376, Simu 2110473, Dar es Salaam ... au nyinginezo) kisha amsalie Mtume Muhammad (SAW) (kwa kukariri Sala ya Mtume na maombi mengine); ndipo alete mahitaji yake. 10. Katika kuomba, Mwislamu anaweza


    • [PDF File]Miujiza ya Mtume - Muhammad(s.a.w)

      https://info.5y1.org/historia-ya-kuzaliwa-kwa-mtume-muhammad-s-w-a_1_e91a5f.html

      Mtume s.a.w. Yeye aliposilimu aliahidi ya kwamba siku zote atakaa pamoja na Mtume s.a.w. ili kujifunza dini. Alikuwa mwenye kiu ya ajabu ya kusikiliza maneno matukufu ya Mtume s.a.w. hata kwamba wakati mwingine alikuwa haendi nyumbani kwake kula chakula kwa kufikiria pengine nyuma yake Mtume s.a.w. atatokea na kusema maneno ya hekima naye atakosa


    • [PDF File]Maisha ya Mtume s.a

      https://info.5y1.org/historia-ya-kuzaliwa-kwa-mtume-muhammad-s-w-a_1_95c295.html

      Kwa hivyo Muhammad (S.A.W) alizaliwa akiwa yatima asiye na baba. Kabla ya kuzaliwa Mtume mtakatifu (S.A.W), mama yake aliota kuwa kesha mzaa. Pia aliota kuwa lazima aitwe Muhammad maana yake asifiwaye. Aaminah aliona katika ndoto nyingine nuru kubwa inatoka katika mwili wake na kutapakaa katika nchi zote. Uchanga wa Muhammad (S.A.W)


    • Sura Ya 17: Khadija Na Wake Wenza Wa Mtume (S.A.W.W)

      Home > Khadija-tul-Kubra > Sura Ya 17: Khadija Na Wake Wenza Wa Mtume (S.A.W.W) > Muhammad Huseyn Haykal Sura Ya 17: Khadija Na Wake Wenza Wa Mtume (S.A.W.W) Jambo la kushangaza ni kwamba wanawake wote wa nyumba ya Muhammad Mustafa, Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, walikuwa na udhaifu kama ilivyo kwa wanawake wengine. Wake zake wengine wal-


    • [PDF File]Dar Es Salaam - 2014

      https://info.5y1.org/historia-ya-kuzaliwa-kwa-mtume-muhammad-s-w-a_1_7f52f7.html

      M MTUME WA REHMA Matukio yenye yenye kusisimua katika maisha yake UHAMMAD(s.a.w) Othman Nuri TOPBASH. As-Salaam Islamic Center Plot 354 Mbezi Beach, Makonde, Dar Es Salaam - Tanzania ... Email: aic2013@gmail.com Haki zote zimehifadhiwa. Hairuhusiwi kutolesha sehemu yoyote ya toleo hili, kuitunza katika mfumo utakaowezesha kunakiliwa au ...


    • [PDF File]KATIKA MAFUNDISHO YANAYOTOKANA NA SAFARI TUKUFU YA KUHAMA KWA MTUME S.A ...

      https://info.5y1.org/historia-ya-kuzaliwa-kwa-mtume-muhammad-s-w-a_1_9fda23.html

      chake Mtume S.A.W akiwa amejifunika shuka ya Mtume S.A.W pia kurejesha amana za watu kwa wenyewe, na washirikina washindwe kumfuatilia Mtume S.A.W wakati wa kutoka kwake. Ni wazi pia umuhimu alioutoa Mtume S.A.W kwa kuweka mipango madhubuti na kuchukuwa sababu za safari tukufu pale Mtume S.A.W alipokwenda kwa rafiki yake Ababakri R.A ndani ya ...


Nearby & related entries: