Historia ya mtume muhammad

    • [PDF File]MBORA WA MANABII - Al Islam

      https://info.5y1.org/historia-ya-mtume-muhammad_1_153309.html

      Mwanzilishi Mtakatifu wa Islam, Mtume Muhammad amani iwe juu yake. Yeye analizungumzia jambo hili sehemu mbili katika historia nami hapa namnukuu: Mnamo karne chache za awali za Dini ya Muhammad, Ukristo haukuweza kuthubutu kushutumu wala kuelezea; uliweza tu kutetemeka na kutii. Lakini Waislamu walipokuwa wamepata ushindi wao wa mara ya kwanza


    • [PDF File]Maisha ya Mtume s.a - Al Islam

      https://info.5y1.org/historia-ya-mtume-muhammad_1_95c295.html

      walistaajabu kuwa Mtume Muhammad (S.A.W) alijua mambo mengi na alikuwa mtu mwenye busara sana ingawa hakuwa na ujuzi wa kusoma. Mtume Muhammad (S.A.W) alipokuwa na miaka kumi na miwili, baba yake mdogo alikuwa lazima aende Shamu kwa msafara wa biashara. Kijana huyu hakuweza - kustahimili upweke wa kumkosa baba yake mdogo kwa kutengana nae


    • Kwa Nini Mtume Muhammad (s) Alioa Wake Wengi

      kimeandikwa kumtakasa mtukufu Mtume Muhammad (s) na kisingizio au lawama ya kuwa na tamaa za kiashiki na mpenda wanawake. Mwandisihi amefafanua kwa mantiki kuwa ndoa hizo zilikuwa na sababu maalum na ameweza kubatilisha tuhuma za uongo za maadui wa Islam ambao walijaribu kupunguza hadhi ya Mtume (s).


    • [PDF File]Mfano mwema wa Mtume - Muhammad(s.a.w) - Al Islam

      https://info.5y1.org/historia-ya-mtume-muhammad_1_01a821.html

      Baadhi ya watoto hufiwa na baba zao wakiwa bado wachanga, na baadhi ya watoto hufiwa na baba zao wanapokuwa watoto wakubwa kidogo. Lakini Mtume Muhammad s.a.w. alizaliwa yatima. Baba yake alifariki miezi mitatu kabla yake (Mtume) kuzaliwa. Mama yake akafariki dunia. Mtume akiwa na umri wa miaka sita. Na hata


    • MAISHA YA MTUKUFU - Google

      Aliiumba Nuur (Nuru) ya Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.a.). Bwana Al-Qastalani (katika kitabu cha kiitwacho Al-Mawahibu’l-Ladunniyah, Juzuu ya 1, uk. 5, 9 na 10) aliyeinukuu Hadith ya Mtukufu Mtume (s.a.w.a.) ihusianayo na jambo hili, kutoka kwa Sahaba Bwana Jabir ibn Abdallah Al-Ansari na Sayyidina Ali ibn Abi Talib (a.s.).


    • [PDF File]IMAM ALI (A.S.) NDUGU YAKE MTUME MUHAMMAD (S.A.W.)

      https://info.5y1.org/historia-ya-mtume-muhammad_1_bb391e.html

      MTUME MUHAMMAD (S.A.W.) Usahihishaji Upya wa Historia na Utafiti wa Kina wa Madhehebu ya Shia JUZUU YA PILI Kimeandikwa na: Sheikh Muhammad Jawad Chirri Kimetarjumiwa na: Salman Shou Imam Ali binamu yake Mtume sehemu ya Pili.qxd 7/1/2011 4:40 PM Page A


    • Usahihi Wa Historia Ya Uislamu Na Waislamu

      Neno La Mchapishaji Usahihi Wa Historia Ya Uislamu. Hii ni historia ya vuguvugu la Uislamu ambalo lilianzishwa na Muhammad, Mtume wa Allah (s.w.t.) mnamo mwaka 610 A.D. huko Makka, na kuendelea alipohamia Madina mpaka alipofarika. Inahusisha kipindi cha miaka tisini kuanzia 570 A.D. wakati yeye Muhammad alipozaliwa huko Makka, hadi mwaka


    • Mfululizo wa vitabu juu ya Mtume Muhammad

      Mapambano baada ya Mtume . . . 6 Mifano kutoka kwenye Historia ya Uislam . . . 8 Njia ya baadae . . . 10 Sayyid Muhammad Rizvi (Makala ya ufafanuzi wa Mazungumzo yaliyotolewa juu ya “Islam in Focus” (Uislam katika Darubini) kwenye vipindi vya TV vya Mei, 2002) Kimetarjumiwa na: Ramadhani Kanju Shemahimbo


    • [PDF File]HADITHI AROBAINI ZA MTUME MUHAMMAD(s.a.w.) - Al Islam

      https://info.5y1.org/historia-ya-mtume-muhammad_1_76d27f.html

      kwa namna ya kijitabu na twawaomba ndugu zetu Waislamu wazisome kwa nia safi na mwili safi huku wakimsalia Mtume Mtukufu Bwana wetu Muhammad s.a.w. kwa kulipa ile ihsani aliyotufanyia kwa kutueleza mambo ya hekima kubwa ambayo yangetufaidisha katika maisha ya duniani na Akhera pia. Hadithi zote za Mtume s.a.w., kwa hakika ni maelezo ya aya za


    • [PDF File]Mchango wa WAISLAMU katika MWAMKO NA MAENDELEO

      https://info.5y1.org/historia-ya-mtume-muhammad_1_392df7.html

      Maelezo yao yanaielezea historia ya Uislamu kuanzia karne ya saba na kuendelea, kwa kuishambulia dini hiyo, kitabu cha Quran na Mtume Muhammad (S.A.W). Wanahistoria wamejadili kwa upana historia ya Ugiriki na Urumi na hatua za mwanzo za maendeleo ya Ukristo, na kuelezea kwa kifupi zama za Uislamu, na


    • [PDF File]Mwana Mkuu wa Ibrahim - Al Islam

      https://info.5y1.org/historia-ya-mtume-muhammad_1_4a6b3d.html

      Ibrahim ndiyo waliomkurubia, na katika zama hizi Mtume Muhammad s.a.w. na waaminio wanamkurubia kuliko wengine wote. Yaani Waislamu ndiyo wana wa Ibrahim hasa kwa kiroho na Mtume Muhammad s.a.w. ndiye Mwana Mkuu wa Ibrahim. Kabla hawajaanza kusoma kitabu hiki, wasomaji wanapaswa kuelewa ya kwamba nikijibu upinzani wa padre Anglars sikurejesha


    • [PDF File]Mtume Muhammad(s.a.w.) katika Biblia - Al Islam

      https://info.5y1.org/historia-ya-mtume-muhammad_1_3728aa.html

      yanaonyesha kwamba Nabii Muhammad s.a.w. si Mtume wa kitaifa bali ametumwa kwa mataifa yote ya wanadamu. Mtume Muhammad s.a.w. kwa kuwa ni m’bora wa mitume wote (Sura 33:41) naye alitumwa kwa watu wote (Sura 7:159) bishara zinazotabiri kuja kwake zinapatikana katika vitabu vya dini zote. Hapa vimetajwa Taurati na Injili.


    • [PDF File]Miujiza ya Mtume - Muhammad(s.a.w) - Al Islam

      https://info.5y1.org/historia-ya-mtume-muhammad_1_e91a5f.html

      “Mtume s.a.w. aliponiambia kuwaita hao watu wa Suffa, nilihangaika moyoni kwa kufikiri kwamba kikombe kimoja tu peke yake kitawatoshaje watu wengi hao; nilihitaji zaidi maziwa haya. Kwa vyo vyote, hii ilikuwa ni amri ya Mtume s.a.w.; basi, nikawaita wote hao. Walipofika hao jamaa na kukaa chini mahali


Nearby & related entries:

To fulfill the demand for quickly locating and searching documents.

It is intelligent file search solution for home and business.

Literature Lottery

Advertisement